Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Last Updated on 12/06/2024 by Tabibu Fadhili Paulo

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Hapo kabla tumejifunza mengi kuhusu ugonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO.

Baadaye tukajadili kwa kirefu juu ya DALILI 21 ZA VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kupata somo hili pia unaweza kulisoma kwa kubonyeza hapa

Kisha tukaja tukasoma juu ya DAWA MBADALA INAYOTIBU VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kusoma makala hii pia unaweza kuisoma kwa kubonyeza hapa

Na baadaye tukasoma kuhusu CHAKULA CHA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO na unaweza kulisoma somo hili kwa kubonyeza hapa

Leo tutaangalia uhusiano uliopo baina ya Vidonda vya tumbo na Upungufu wa Nguvu za Kiume.

Wanaume wengi wanaougua vidonda vya tumbo kwa muda mrefu hutokewa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Kwahiyo ikiwa mwanaume una tatizo la kushindwa kuhimili tendo la ndoa na unaumwa vidonda vya tumbo basi cha kwanza utatakiwa ujitibu kwanza vidonda vya tumbo.

Hili linakuwa kweli hasa tukiziangalia baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo kama zifuatazo;

Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo zinazopelekea pia upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na zifuatazo:

1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum
2. Kuumwa mgongo au kiuno
3. Kizunguzungu
4. Kukosa usingizi
5. Kiungulia
6. Tumbo kujaa gesi
7. Tumbo kuwaka moto
8. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
9. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
10. Kusahahu sahau na
11. Hasira bila sababu.

Dalili au matatizo yote hayo hapo juu yanayompata mgonjwa wa vidonda vya tumbo ndizo ambazo kwa namna nyingine kama matokeo yake zinapelekea tatizo la Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wengi.

Mwanaume anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pia anaweza kupatwa na kupungukiwa nguvu za kiume kama matokeo hasi ya baadhi ya dawa za kemikali zinazotumika kutibu vidonda vya tumbo.

Ingawa madaktari huangalia zaidi matokeo chanya ya dawa kuliko matokeo hasi hasa inapobidi upone ugonjwa mwingine hatari zaidi hata kama moja ya matokeo yake hasi yaweza kuwa ni kupatwa na ugonjwa mwingine.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya vidonda vya tumbo na msongo wa mawazo au huzuni. Na msongo wa mawazo au stress moja kwa moja husababisha kushuka kwa nguvu za kiume!

Kwa kifupi Mwanaume fanya kila uwezalo usiuguwe vidonda vya tumbo au fanya kila njia kuhakikisha unajitibia vidonda vya tumbo hadi unapona ikiwa unataka kuendelea kulinda heshima yako nyumbani.

Kama una swali zaidi karibu kwa mjadala hapo chini

Kama unahitaji dawa ya asili inayotibu kabisa vidonda vya tumbo niachie ujumbe WhatsApp +255714800175

Tafadhali SHARE kwa ajili ya wengine.

Imesomwa na watu 3,468
Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *