Vitu 6 nilivyojifunza kuhusu vidonda vya tumbo
VITU 6 NILIVYOJIFUNZA KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO 1. Vinaweza kumpata mtu yeyote. Mwanzoni mwa miaka ya 1980 wakati madaktari na watu wengine wote walipokuwa wakiwaambia watu kwamba vidonda vya tumbo vilikuwa vinasababishwa na msongo wa mawazo (stress) na vyakula vyenye kusisimua (vyenye pilipili – spiced foods), wanasayansi wawili kutoka Australia wakagundua kwamba pamoja na […]