Dawa bora ya vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda vya tumbo. Katika makala hii nitakueleza kiundani juu ya dawa ya vidonda vya tumbo. Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo husababishwa na nini? Kwa kawaida vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria aitwaye Helicobacter pylori au kwa kifupi H. pylori. Watu wawili katika kila […]