Bawasiri na Vidonda vya tumbo

Jinsi ya kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo

Jinsi ya kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo Kwenye makala hii naeleza kwa kirefu juu ya nini na nini hasa unaweza kufanya ili kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo pale yanapokutokea. Aidha niseme mapema kwamba lengo lako kuu lisiwe kwenye kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo tu bali kuvitibu na kuondokana navyo kabisa vikae mbali […]

Je mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaweza kutumia limau, pilipili au tangawizi?

Je mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaweza kutumia limau, pilipili au tangawizi? Leo tena nijaribu kujibu swali hili kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Ni swali ambalo nimekuwa nikiulizwa mara nyingi sana na wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Ukiwa unaumwa vidonda vya tumbo nguvu zako nyingi unazielekeza kwenye kutaka kufahamu ikiwa chakula hiki au kile […]

Chakula cha mgonjwa wa bawasiri

Chakula cha mgonjwa wa bawasiri Mgonjwa wa bawasiri unashauriwa kuwa makini sana na chakula unachokula kila siku. Chakula na vinywaji unavyotumia kila siku vina mchango mkubwa katika kukusaidia kupona ugonjwa huu unaosumbuwa maelfu ya watu miaka ya sasa kote duniani. Chakula cha mgonjwa wa bawasiri kinafaa kifanane na kile cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo. […]

Je mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaweza kufunga kula?

Je mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaweza kufunga kula? Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania… Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, mwenye neema nyingi kwa kuendelea kunipa afya njema na uhai mpaka leo. Ni kwa neema tu tunaishi na kula. Mwaka huu umeonekana kuwa ni mwaka wa tofauti ukilinganisha na miaka […]

Kwanini mgonjwa wa bawasiri unashauriwa kuacha kunywa pombe

Kwanini mgonjwa wa bawasiri unashauriwa kuacha kunywa pombe Moja ya magonjwa yanayoendelea kusumbua watu ni ugonjwa wa bawasiri. Baada ya u.t.i, vidonda vya tumbo, ugonjwa wa tatu unaotesa watu wengi duniani kwa sasa ni ugonjwa wa bawasiri. Shida iliyopo ni kuwa ugonjwa huu upo sehemu mbaya na wengi huona aibu kujieleza kuwa wanaumwa bawasiri na […]

Vyakula vya asubuhi vya mgonjwa wa vidonda vya tumbo

Vyakula vya asubuhi vya mgonjwa wa vidonda vya tumbo Mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni lazima uwe makini sana na chakula unachokula kila siku. Chakula unachokula kila siku kitaamua ikiwa dawa unayotumia kutibu vidonda vya tumbo itakuponya na kukuacha huna vidonda tena milele au ndiyo utapata nafuu ya muda mfupi tu na baadaye utaendelea kuumwa […]

Sababu kuu kwanini maziwa fresh ni hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

Sababu kuu kwanini maziwa fresh ni hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kunywa Maziwa fresh hakuwezi kukusaidia kupona vidonda vya tumbo. Unaweza kupata nafuu kidogo baada ya kunywa maziwa lakini baadaye kidogo maziwa uliyokunywa yanakusababishia uundwaji zaidi wa asidi (tindikali) tumboni na kukuletea maumivu zaidi na ugonjwa kuongezeka. Kwa miaka mingi wagonjwa wa vidonda […]

Sababu kuu 2 kwanini huponi vidonda vya tumbo

Sababu kuu 2 kwanini huponi vidonda vya tumbo Je vidonda vya tumbo vinatibika? Vidonda vya tumbo vina dawa? Vidonda vya tumbo vinapona? Basi nimeshakutana na maswali ya namna hii kutoka kwa wasomaji wangu wengi kwa muda mrefu sana. Hii inatuma picha kwamba kuna watu wengi tu hawafahamu au hawaamini kwamba vidonda vya tumbo vinapona au […]

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula Ili kuimarisha mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula unahitaji kula zaidi vyakula vyenye bakteria wazuri. Tumboni kwako kuna bakteria wa aina mbili, bakteria wazuri na bakteria wabaya na kwa bahati mbaya mwili au tumbo lako linawahitaji bakteria wote wawili yaani bakteria wazuri na bakteria […]

Vitu 6 nilivyojifunza kuhusu vidonda vya tumbo

VITU 6 NILIVYOJIFUNZA KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO   1. Vinaweza kumpata mtu yeyote. Mwanzoni  mwa miaka ya 1980 wakati madaktari na watu wengine wote walipokuwa wakiwaambia watu kwamba vidonda vya tumbo vilikuwa vinasababishwa na msongo wa mawazo (stress) na vyakula vyenye kusisimua (vyenye pilipili – spiced foods), wanasayansi wawili kutoka Australia wakagundua kwamba pamoja na […]

Madhara 9 ya vidonda vya tumbo mwilini

Madhara 9 ya Vidonda vya tumbo mwilini Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Majeraha au vidonda hivyo huleta maumivu yanayokera na hutokea mara nyingi tumboni na yanaweza kutibika lakini kama hutachukuwa hatua mapema za kutibu yanaweza kukuletea majanga mengine mengi kiafya. Tumbo na utumbo mdogo vina kuta maalumu yenye […]

Tabia 7 zinazokuchelewesha kupona bawasiri

Tabia 7 zinazokuchelewesha kupona bawasiri 1. Kutokunywa maji ya kutosha kila siku Tafiti zinasema kutokunywa maji ya kutosha kila siku kunaweza kukuletea ugonjwa wa bawasiri. Kama haunywi maji mengi ya kutosha kila siku ni rahisi sana wewe kupatwa na tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumu kila mara na mwisho wake ni bawasiri. Maji […]

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo Kwa kawaida vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria aitwaye Helicobacter pylori au kwa kifupi H. pylori. Watu wawili katika kila watu watatu hapa duniani wana huyu bakteria tumboni mwao Na ingawa wengi wa watu hawa wenye huyu bakteria hawaonyeshi dalili yoyote ya kuumwa vidonda vya tumbo […]

Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri

Hadithi namba 1: Ukiugua bawasiri hata ukipona utarudia kuugua tena na tena. Ukweli ni upi: Madai haya hayana ukweli wowote hasa kwa yule ambaye amepata ugonjwa huu kwa sababu za muda mfupi tu kama vile ujauzito.   Kwa kawaida ukitibiwa ugonjwa huu na ukapona kitakachosababisha upate tena ugonjwa huu ni kutokuzingatia masharti unayopewa juu ya vyakula […]

Vitu vikuu vitatu vinavyosababisha bawasiri

Bawasiri ni nini? Bawasiri au Kikundu au Puru ni hali ya kuvimba kwa mishipa ya damu katika njia ya haja kubwa. Kwa Kiingereza hujulikana kama Hemorrhoid au Piles. Katika hatua yake ya kuonekana wazi ugonjwa hujitokeza kama uvimbe au vivimbe kadhaa kwenye maeneo ya tundu la haja kubwa. Karibu katika kila watu wanne watu watatu kati yao wanasumbuliwa na […]

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri Wagonjwa wengi ninaokutana nao wakitafuta dawa ya bawasiri baadhi yao wamekuwa wakisema nahitaji dawa kwa ajili ya rafiki au ndugu yangu fulani na siyo kujisema wao moja kwa moja kwamba ndiyo wanaoumwa! Uwe na amani haijalishi ni bawasiri au U.T.I au vidonda vya tumbo au nguvu za kiume, chochote […]

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume Hapo kabla tumejifunza mengi kuhusu ugonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO. Baadaye tukajadili kwa kirefu juu ya DALILI 21 ZA VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kupata somo hili pia unaweza kulisoma kwa kubonyeza hapa Kisha tukaja tukasoma juu ya DAWA MBADALA INAYOTIBU VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika […]

Tiba ya bawasiri bila upasuaji

Tiba ya bawasiri bila upasuaji Bawasiri ni ugonjwa gani? Bawasiri ni nini? Bawasiri au Kikundu au Puru ni hali ya kuvimba kwa mishipa ya damu katika njia ya haja kubwa. Kwa Kiingereza hujulikana kama Hemorrhoid au Piles. Katika hatua yake ya kuonekana wazi ugonjwa hujitokeza kama uvimbe au vivimbe kadhaa kwenye maeneo ya tundu la haja kubwa. Karibu katika […]

Vyakula ambavyo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hatakiwi kula

Vyakula ambavyo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hatakiwi kula Mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni lazima uwe makini sana na chakula unachokula kila siku. Chakula unachokula kila siku kitaamua ikiwa dawa unayotumia kutibu vidonda vya tumbo itakuponya na kukuacha huna vidonda tena milele au ndiyo utapata nafuu ya muda mfupi tu na baadaye utaendelea kuumwa […]

Chakula cha mgonjwa mwenye vidonda vya tumbo

CHAKULA CHA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO Unachotakiwa ni kufanya utafiti au kujisomea mwenyewe sehemu mbalimbali aina ya vyakula na vinywaji vyenye alkalini nyingi, hivi ndiyo vyakula upendelee kula zaidi. Wakati huo huo wewe mwenyewe binafsi jisomee huko na huko ni vyakula gani vina asidi nyingi na hivi ndivyo vyakula utakiwa uvikwepe kabisa au ule […]